watermark logo

Up next

ARUSHA ALL STARS - TANZANIA SALAMA (Official Video)

0 Views· 12/20/23
Boina123
Boina123
2 Subscribers
2
In Music

TANZANIA SALAMA ,wimbo ulioimbwa na waimbaji wa nyimbo za Injili ukanda wa Arusha, unaeleza ushwari unaopatikana Tanzania na Amani iliyopo katika Nchi Yetu pendwa Tanzania,tunaeleza namna Mungu ametujalia kuwa na Neema hii ya Amani,na kuonesha vivutio vinavyopatikana katika Nchi Hii. Hapa utaona Mbuga mbalimbali za Wanyama,madini na hata Historia ya Kale inayopatikana Tanzania. Karibu katika kulike,subscribe na pia Comment zako ni za muhimu . ZINGATIA WAKATI WA KUTAZAMA: Kama unatumia Computer ili upate katika ubora wa HD tafadhali ukiucheza wimbo upande wa chini kulia pana alama ya settings bonyeze hapo utaona penye kuongeza ubora katika kutazama,tunakushauri kutazama katika ubora wa 1080 au 720. Na kama unatumia Android (Simu) tafadhali ukiucheza wimbo kwa juu kulia pana vidot vitatu ukibonyeza hapo itakuletea neno quality hapo tafuta utakayohitaji kutazamia nzuri ni 1080 au 720. Mungu akubariki,Tanzania ni Yetu tuipende na Kutunza AMANI maana ni Tunu. #TANZANIA SALAMA (HD).

Show more


 0 Comments sort   Sort By


Up next