watermark logo

Up next

CHINI YA JUA FILAMU YA BONGO MOVIE

1 Views· 02/19/24
Boina123
Boina123
2 Subscribers
2

Chini ya jua ni filamu inayozungumzia maisha ya kijana mmoja aliemdanganya msichana mmoja kuwa atamuoa alifanikiwa kumrubuni msichana huyu na kuishi nae nyumbani kwake kumbe kijana huyu alikuwa anamke na mke wake alikuwa safari baada ya siku kadhaa msichana alierubuniwa alipata ujauzito kijana akaonesha furaha lakini siku moja kijana akapokea simu ya mke wake akimtaarifu kuwa anarudi nyumbani ikabidi kijana amfukuze msichana ili mke wake akirudi asimkute hapo nyumabi mwanamke alikataa ndipo kijana alipoamua kukodi majambazi ili kumuua msichana huyo kwa bahati nzuri msichana hakufa anafanikiwa kutoroka na kwenda kuishi kijijini ulipofika muda wa kujifungua akajifungua salama mtoto wa kiume na huyu kijana huku mjini mke wake aliporudi akapata ujauzito na kujifungua mtoto wa kike miaka mingi baadae watoto hao wawili wakakutana na kuanzisha mahusiano na baadae wakawataarifu wazazi kwa ajiri ya utambulisho siku ya utambulisho ndipo mama wa kijana wa kiume akamtambua baba yake na mtoto je nini hatma ya mwanaume huyo itazame filamu hii ujifunze mengi

Show more


 0 Comments sort   Sort By


Up next