watermark logo

Up next

KISIMA CHA YAKOBO (Official Video) By East Africa SDA Choir, Arusha - Tanzania

0 Views· 12/20/23
Boina123
Boina123
2 Subscribers
2
In Music

Mwanamake yule alijazwa na furaha alipokuwa akiyasikiliza
maneno ya Kristo. Aliuacha mtungiwake pale, akarudi mjini ili
kupasha habari hizi kwa wengine. Alisahau mambo ya kuchota
maji, na kiu ya Kristo aliyotaka kushughulikia. Kwa furaha iliyojaa
moyoni mwake aliharakisha kwenda kuwapasha wengine juu ya
nuru aliyopokea.
Alipaaza sauti akisema: “Njooni mwone mtu aliyeniambia
mambo yangu niliyofanya.” “Je huyu siye Kristo?’ Alikuwa na
mabadiliko usoni pake, na hali yake ilichangamka sana. Wakatoka
mjini wakamwendea.

Show more


 0 Comments sort   Sort By


Up next