watermark logo

Up next

Mishono Mipya Ya Vitambaa Magauni Ya Tait Solo//Fabulous African Style

0 Views· 10/23/23
Boina123
Boina123
2 Subscribers
2

mishono yavijora2022, mishono ya vitambaa, mishono ya vitambaa 2022, mishono, kudizaini vijora, mishono ya madera kisasa,gubeli fashion,jinsi ya vijora, guberi fashion,jinsi ya kudizaini vijora, vijora vya kisasa, mishono ya vijora style, mishono ya madera, mishono mipya ya vitambaa 2022,gubeli ya kisasa, mishono ya vitambaa magauni marefu, mishono ya gubeli ya vitambaa, magubeli ya vitambaa, mishono ya magubeli,jinsi ya kukata guberi, mishono ya maguberi, mishono ya gubeli, mishono ya madira,bwanga fashion, mishono pambe,jinsi ya kukata bwanga, jinsi ya kukata na kushona gubeli, jinsi ya kushona gubeli, mishono ya mabwanga ya vitambaa, mishono pambe ya vitambaa, magauni, mishono ya vitenge, mishono ya magubeli 2022, mishono ya guberi, mishono wa gauni la kitambaa, mishono ya mabwanga ya vitambaa,jinsi ya kushona gubeli, jinsi kukata bwanga, mishono pambe,bwanga fashion, mishono ya madira , mishono ya guberi, mishono ya magubeli,jinsi ya kukata guberi, mishono ya magubeli,magubeli ya vitambaa
Mange amkalisha kitako Nandy kumfunda juu ya Wasafi

"Nandy don’t let them stress you, achana na wasafi, wewe toa hit after hit. Watu wanataka mziki mzuri Hawajali kuhusu kuolewa au kuwa na watoto. Beyoncé ana watoto watatu na mume na bado kabaki kuwa Namba 1 artist kwa wanawake. Matamasha Ya Beyonce zinajaaa Vijana wadogo tu na wakati ako Na Miaka 40s na anawatoto na mume. Anjelina Jolie ana watoto msururu na kabaki kuwa Muigizaji namba 1.
.
Usingeolewa na usingezaaa ungesemwa pia kuwa unazeeka bila kuolewa na kuzaa. We toa hit Baada hit after hit, watakuelewa tu.
.
Ila ushauri mmoja tu, achana na hii Njia ya kiki na kujikweza, hii ndio inayokushushia brand kwa sasa.Rudi Nyuma Kwa African princess Tulie kua tunapendana, sweet and humble bila Maisha Ya mafake. Watu wamem-miss Nandy yule… Tokea harusi i-trend Kama unataka uendelee kutrend ndo unajikuta unafanya mambo yanayokushushia hadhi. We fanya mziki mzuri Maisha ya kufake waachie wasaniii wa wasafi.

Muige Ali Kiba please, jamaa hajui kujikweza wala kufeki maisha ila yupo juu toka enzi za TANU. We love you mpare. Mi naandika habari zako sababu ya njaa tu ila nakupenda mwaya"




Copyright Disclimer under section 107,of the copyright Act 1976, allowance is made for the Fair use for purpose such as news, criticism, news, comment, reporting, teaching, scholarships and research Fair use is use permitted by copyright statues that might wise be infringing.Non_profit educational or personal use tips that balance in favor of fair use.
ALL CREDIT BELONG TO THEIR RESPECTIVE OWNERS.

Show more


 0 Comments sort   Sort By


Up next