watermark logo

Up next

Abiria waliokuwa kwenye Ndege iliyoanguka kutoka Comoro bado yatafutwa

1 Views· 02/16/24
Boina123
Boina123
2 Subscribers
2

Serikali ya Comoro imesema bado hakuna mwili wowote uliopatikana baada ya kuanguka kwa ndege inayofanya safari zake visiwani humo.

Ajali hiyo imetokea wakati ndege hiyo ya Tanzania inayomilikiwa na kampuni ya Fly Zanzibar ilipokuwa inatoka makao makuu ya visiwa vya Comoro, Moroni kwenda kisiwa cha Mwali juma lililopita.


#bbcswahili #comoros #tanzania

Show more


 0 Comments sort   Sort By


Up next